Saturday, November 14, 2009

Je, wewe mmmojawapo?




Idara ya usalama wa taifa ya Norway (PST = Politiets sikkerhetstjeneste) inawafuatilia kwa karibu sana watu 200 wenye asili ya kigeni, waishio nchini. Hayo yamesemwa na msemaji wa idara hiyo; Martin Bernsen. Idadi kubwa ya watu hao, wanadhaniwa kuwa wana mahusiano ya aina flani na baadhi ya vikundi vya kigaidi duniani na wengine wanashukiwa kuwa ni wahalifu wa kimataifa.


No comments: