Tuesday, November 17, 2009

KENYA - Quest for new constitution. Wakenya wameweza, kwa nini Watanzania tushindwe?




Kenyans’ quest for a new constitution edged closer to reality after the harmonised draft constitution was published on Tuesday.

The public will now have one month to debate the draft and make their views known to the Committee of Experts, who drew up the document.

Committee chairman Nzamba Kitonga said it was “a working draft to facilitate dialogue among Kenyans.”

He was speaking during the launch of the harmonised draft constitution at the Kenyatta International Conference Centre, Nairobi.

He added that his team had strived to come up with a draft largely acceptable to Kenyans and said while there were “voices of disquiet” particularly with regard to the Kadhi Courts, he noted that Kenyans had not categorised it as a contentious issue as long as it remains “in the current constitutional form.”

Daily Nation (Kenya)


6 comments:

Anonymous said...

Wakati umefika kwa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuandikwa upya. Katiba yetu imezibwa vibwa viraka na imeandikwa enzi za chama kimoja tawala....

Vyama vingi na wadau wakae na kuandika katiba mpya...

Anonymous said...

CCM watakubali kweli iandikwe katiba mpya itakayowapunguzia madaraka?

Anonymous said...

Wenzenu Kenya walimwaga damu, amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga :-)
CCM hawatakubali kwani madhambi mengi wanao.
MSEMO WETU AMANI NA UTULIVU

Anonymous said...

MSEMO WETU AMANI NA UTULIVU! ni msemo wa kuwafumba wasioona mbele wala nyuma, ni msemo wa siasa, msemo wa CCM! Tuache ujinga na kutokuona mbele. Tanzania na watanzani walio wengi wahajaenda shule ya kweli, hivyo hatuwezi kujilinganisha na wasomi wa Kenya. Watanzania wa darasa la UPE utawalinganisaha na wasomi wa Kenya??

Amka!! Umelala!!

Anonymous said...

Mwamko wa kisiasa hauhitaji kuwa na shahada! Watanzania wengi wamesoma. Idadi ya waliosoma ni wengi kiasi cha kufanya mambo na kuilazmisha serikali kufanya mabadiliko.

TATIZO LA WATANZANIA: ni waoga!!!

Anonymous said...

UOGA WA WATANZANIA.

Wakenya wao wana uzoefu wa vurugu a kuwamga damu. Toka enzi za MAU MAU. Hivyo kwao vurugu ni kitu cha kawaida.

Halafu ukabila.

Watanzania tumepata uhuru bila ya kumwaga damu. Damu ndugu zanguni inatisha si kitu cha kuchezea.

Watanzania tumechanganyika kwenye kuoana na kwenye dini. Tutaanzia wapi kuchinjana?

Kwenye familia yangu hakuna aliyeoa kabila letu, tuna watu wa dini tofauti. Nitaanzia wapi? Nimwache nani?

Kuna mengi ya kutafakari kabla ya kuanza huo "USHUJAA"