Monday, November 23, 2009

Mkapa sio fisadi

-Waziri Mkuu Pinda


1 comment:

Anonymous said...

Kwa kweli sioni cha maana alichosema Mheshimiwa Waziri Mkuu,je haoni maraisi wangapi wameshitakiwa au Mkapa yeye yuko juu ya sheria, hapana iwapo imedhihirika kuwa ametenda kosa ni fisadi na anastahili kushtakiwa na kurudisha na mali yote aliyochukua. Kama siyo hivyo mupitishe sheria kua kila fisadi au mwizi akirudisha mali aliyo iba apewe kinga ya kutoshitakiwa. Tuache tabia ya kulindani alijua wazi anafanya kosa lililowazi sasa inabidi akubali adhabu iwe fundisho kwa wengine.