Mtihani wa maarifa
Maelezo:
Muda: Sekunde 10.
Majibu mpe mwenzako.
1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini benki zina matawi?
2. Kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusiendeshe wakati tumekunywa, kwanini baa kuna sehemu za kuegesha magari?
4. Kama neno ‘abbreviation’ linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?
5. Kama tunatakiwa kufanya ngono ndani ya ndoa tu, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?
No comments:
Post a Comment