Hapo sijamwelewa muheshimiwa Tatizo kukata viuono? au tatizo wapi unakatia hivyo viuono!! maana Akija Rais yoyote kutembelea nchi pale uwanja wa ndege kunakua na ngoma mbalimbali na Asili ya ngoma zetu ni "wanawake kukata" viuno na hua anachekelea kinoma!! so which is which Mr. PM??
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu
7 comments:

hahah na kweli asili ya ngoma zetu za kiafrica ndo hizo
Mbona hazungumzii upatikanaji wa umeme, maji, afya na elimu bora kwa watanzania?? Naamini hivi ndo vitu vya msingi kwetu wazalendo wa nchi hii.
Au anataka dada zetu wote wavamie si-hasa (siasa) kama Sophia Simba? Au waanzishe vijitaasisi uchwara kama "wanama"??
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu
Viuno asili yetu whether male or female.
Muulizeni PM maji yamejaa mtera? Mambo ya viuno am sure alikurupuka.
Basi kama ni hivyo; Sindimba, Chakacha, Sikinde, na ngoma za baadhi ya makabila ya Tanzania zinazochwzwa kinamna zipigwe marufuku...
Vinginevyo kama hawapendi, wafanye kiasi kuwa baadhi tu za stesheni za luninga ziruhusiwe kuonyesha nyimbo za kukata viuno.
Vinginevyo wasije wakatuvalisha Chou En Lai kama enzi zile...
Wakomeshe ufisadi na uharamia mwingine, halafu ndio warudi kuzungumzia utamaduni. Wasitufanye wote mabwege!!!!
Wape kazi ya kuajiriwa na mshara wa kuwatimizia mahitaji yao ya kila siku uone kama watakwenza kuwakatia viuno walevi.
Post a Comment