Wednesday, December 16, 2009

Kiboko ya wanandoa na wapenzi

wasio waaminifu




Inteligence anaileta kwenu software ya simu za mkononi yenye uwezo wa kujua, kusoma, kusikiliza simu/sms kutoka kwa mpenzi/mke/mume kama kwa ujumla unahisi anaeza akawa anatembea nje ya ndoa au nje ya urafiki wenu.
Software itakwenda kwa jina la kiboko, kukamilika mwisho wa mwezi huu.

Utangulizi:

Kiboko ni software iliyoundwa na inteligence(JF member) ambayo kwa sasa iko ktk majaribio.

Fikiria, mkeo au mmeo wa ndoa anakucheat na mara nyingi mara kwa mara anatuma meseji/piga simu kwa demu au buzi la nje ya ndoa?

Fikiria, Mtoto wako wa KIKE anapoteza muda wa kusoma na kuanza mapenzi kabla ya miaka 18?

Fikiria mpenzi wako anakucheat na kutuma msg kupiga simu kwa kutumia SIM card nyingine kwa siri

Fikiria ungejua nini kinaendelea ktk ndoa yenu na wasiwasi wa maisha kwa kukosekana kwa uaminifu hivyo UKIMWI.

FIKIRIA KITU KINACHOWEZA KUKUONYESHA NANI ANATEMBEA NA MKEO/MUME na kufanya maamuzi mbadala kabla ya ukimwi KUKUPATA.

KIBOKO: Itakuwezesha kujua haya yote:

KIVIPI: simu (maongezi) Pindi mkeo akipiga simu kwa mtu yeyote yule,kuna tone itakualert wewe ikikuuliza irecord maongezi hayo ya mkeo na pengine buzi au usikilize in real TIME

Kurecord: maongezi yao (mkeo na buzi may be) yatarecordiwa na baada ya maongezi yatatumwa kwako kwa njia ya internet muda huo huo.

Real time kusikiliza-Hapa namaanisha mwingiliano wa simu (Utasikiliza kila kitu wanachoongea wakati huo huo bila wao kujua unawasikiliza) na unaweza kurecord maongezi kwa simu yako pia.

SMSindi mkeo/mume anapotuma meseji kwa demu/buzi copy ya meseji inakuja kwako bila wao kujua.

Hivyo hivyo kwa watoto/na wengineo.

KIBOKO SOFTWARE: itakamilika ktk kipindi hiki cha majaribio mwishoni mwa mwezi huu.

Haitouzwa KIHOLELA.

SOFWARE HII itatakiwa kuwa installed/configured kwa simu yako na huyo unaetaka ku mmonitor.

Hutauziwa software bali itakuwa installed remotely

BEI YAKE ITAKUWA KUANZIA DOLA 80:

HAITOUZWA KIHOLELA:NARUDIA HAITOUZWA KIHOLELA:

Katika kipindi hiki cha majaribio, KIBOKO imefanikiwa sana ktk simu za aina zote isipokuwa za KICHINA. (WORKING ON IT)

NAKARIBISHA MAONI YENU KWANI YANAWEZA KUNISAIDIA AU KUWASAIDIA NANYI PIA.

Asanteni.

__________________
Intelligence EveryWhere

Chanzo: Jamii Forums

1 comment:

Anonymous said...

Remotely? Huyu jamaa anayesema anaitengeza hiyo software, si anaweza kuweka kitu akawa anamsikiliza hata huyo anayetaka kusikiliza mwenzake?

Dunia ya TEKNOHAMA ni balaa tupu!