Thursday, December 17, 2009




Nakuambia bora kumtafuta fundi
mwashi tu. Mwanasiasa ya nini?



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,


VIPI huko mwenzangu? Na mvua hizi biashara zako zinawezekana kweli?  Angalia mpenzi usije ukapatwa na kifua kama mpenzio maana kunyeshewa si kuzuri ati.  Najua utasema kijana lazima ahangaike, lakini bado ujitunze mpenzi.  Nakupenda. Bila wewe hata maisha haya nitayavumilia vipi?  Laiti ungekuwa hapa nikukumbatie na kuondoa ubaridi wote wa mvua.  We!

No comments: