Monday, December 07, 2009

Padri Karugendo aunguruma



Padri Privatus Karugendo, ambaye ni mchambuzi mahiri wa masuala ya kisiasa, dini na kijamii katika magazeti mbalimbali nchini, hususan gazeti la Raia Mwema, mapema leo ametembelea ofisi za kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wachapishaji wa magazeti pendwa ya Ijumaa, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda, Championi na mtandao huu, zilizopo Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam.


No comments: