Thursday, December 10, 2009

Sasa hivi Obama yuko

Ofisini kwa Waziri Mkuu,

Jens Stoltenberg



Kwenye orofa ya 17, Waziri mkuu wa Norway, Jens Stoltenberg akimwonyesha Rais Obama mji wa Oslo ulivyo. Saa 4.45 za asubuhi za Ulaya la Kati, Rais Obama atazungumza na waandishi wa habari. Programu ya Obama ”imefinywa na kukazwa mno” kiasi ambacho hatakuwa na muda mrefu na waandishi wa habari. Hapa Norway mwandishi mmoja tu wa stesheni ya luninga ya NRK ndiye atakayepata fursa wa kumwuliza Obama swali. Waandishi wa habari watakutana na Obama kwenye jengo la ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments: