Wednesday, December 23, 2009


Tovuti ya wananchi

Madhumuni:
  • Kuwasiliana moja kwa moja na serikali kupitia tovuti
  • Kuwasilisha serikalini mawazo au maoni yako
  • Kufuatilia majibu ya hoja za wananchi kutoka serikalini





1 comment:

Anonymous said...

WEDSIDE HII IMEWEKWA KWA AJILI YA KUIGA TU, KWANZA HAIELEKI KABISA NI VIGUMU KWA MTANZANIA WA KAWAIDA KUELEWA;KILA KITU NI SIRI KWA YULE ALIYEULIZA: KWANINI ISEWEKWE KILA WIZARA NA MASWALI YOTE NA MAJIBU ILI KILA MTU AJUE SWALI NA JIBU KWA KILA WIZARA?KWANI NAJUA KABISA MAJIBU MENGINE NI YA UWONGO HIVYO WATU WATACHANGIA .BONGO LAZIMA TUJUE DEMOKRASIA BADO.
1)DEMOKRASIA HUANZIA NYUMBANI BABA,MAMA NA WATOTO HUKOSOONA LAKINI DEMOKRASIA YETU IMEJENGA MILA NA DESTURI SAWA IKIWA ITATUMIKA TU NYUMBANI ,LAKINI SIO KWENYE SIASA,KWANI SIASA SI UMRI NI KIPAJI NA UWEZO HAUNGALII UMRI,WAPO WEZEE WENGI NI VILAZA
2)UONGOZI WA TANZANIA NI UONGOZI MPUNGA (HII INA MAANA KITALU CHA MPUNGA KIPO DAR NA BAADAYE MICHE HUPELEKWA MIKOANI ,HII SI HAKI: WATU WOTE WAOMBE UONGOZI
3)WANASIASA WA BONGO NI KAMA WACHEZAJI WA MPIRA
NIMEKAA ULAYA MIAKA MINGI SIJAONA
WAPENZI WA KLABU KUHAMA TIMU HATA WAKIFUNGWA MIAKA 10 BADO NI WAPENZI LAKINI WACHEZAJI RUHUSA KWANI WAO PESA MBELE NA HATA WANACHAMA WA VYAMA HAWAHAMI KAMA BONGO MTU ANAHAMA CCM TEMA KWA VISHINDO NA MATUSI KWENDA UPINZANI.BAADA YA MUDA ANARUDI CMM CHA AJABU ANAPOKELEWA KWA VISINDO NA VIONGOZI WA JUU WA CCM WENGINE HATA KUPATA UBUNGE WA KUTEULIWA NA RAIS JAMANI INASHANGAZA :
NA VIONGOZI WAKIJA HUKU ULAYA KUTUSHAWISH ETI TURUDI BONGO TUKAJENGE NCHI KI VIPI?
NISAIDIENI WENZANGU