Polisi wa Oslo full mziki!!
Kufuatilia ujio wa Rais Obama, ulinzi kwenye hoteli ya Grand mjini Oslo umeanza kuonekana waziwazi leo. Kama picha inayoonesha, polisi wamejizatiti kwa kila namna. Kawaida polisi hapa Norway hawatembei na silaha, mpaka kwa shughuli maalumu. Tayari maeneo kadhaa ya kuzunguka hoteli ya Grand yameshafungwa kwa raia wa kawaida.
No comments:
Post a Comment