Tuesday, December 08, 2009

Will Smith, Jada Pinkett Smith

na Robbie Williams kwenye

kipindi cha mwisho cha Skavlan

NRK 1 wikiendi hii


Robbie Williams na Will Smith "Fresh Prince"


Will Smith, mkewe Jada Pinkett Smith na mwanamziki Robbie Williams watakuwa wageni wa kipindi cha mwisho kwa mwaka huu cha Skavlan kwenye stesheni ya luninga ya NRK. Will Smith na Jada watakuwa Oslo kwenye mafahali ya Rais Obama kutunukiwa tuzo ya Nobel ya amani mwaka huu.

No comments: