Wednesday, January 27, 2010

SAAB yanusurika kwenda mrama!



Kampuni ya General Motors  (GM)ya Marekani iliyokuwa inamiliki SAAB (magari) imethibitisha kuiuza kwa kampuni ya Spyker ya Uholanzi. GM imethibitisha mauzo hayo kwenye tovuti yake. Makubaliano kati ya GM na Spyker yamezaa kampuni itakayoitwa Saab Spyker Automobiles.

No comments: