Ahukumiwa kwa kuwaambukiza
UKIMWI wapenzi wake
Mwanamziki wa Kijerumani wa kundi la No Angels, Nadja Benaissa amehukumiwa kwa kufanya ngono zembe na kuwaambukiza UKIMWI wapenzi wake watatu kati ya mwaka 2004 na 2006. Nadja alikuwa anajua kuwa ameathirika, lakini hakuwaambia hao wapenzi wake.
Najda ni mtoto wa pili kwa baba yake mwenye asili ya Kimoroko; Muhamed Benaissa na mama yake Mjerumani; Sabina. Wamezaliwa wawili kwenye familia yao ni yeye na kaka yake Amin. Alianza shughuli za mziki akiwa na miaka 13 na alipofikia miaka 17 alipata mtoto wa kike; Leila Jamila.
No comments:
Post a Comment