Wednesday, February 10, 2010


Google Street View Oslo/Norway.

Google wameanzisha huduma za kuangalia Oslo/Norway mitaani. Yaani unaweza kuangalia mahali ulipo kuanzia sehemu zote na sio kutokea angani tu kama ilivyo zamani  kwenye Google Earth. Watu wameshaanza kulalamika kuwa Google wanaingilia uhuru na ubinafsi wao.

Kwa mfano unaweza kuona watu wakitembea mjini Oslo na ukajiona nawe uko kwenye “street view” Hebu jaribu uone kwenye:

http://maps.google.no/help/maps/streetview/

Halafu bofya 


Prøv Street View i Google Maps


Halafu


Søk i kart: hapa andika jina la sehemu:


Mfano Karl Johansgata, Oslo


Upande wa kushoto kunatokea kaboksi,
bofya kwenye picha utakayoiona, halafu
upande wa kulia kutatokea kaboksi
bonyeza "Street View"

No comments: