Likizo ya majira ya theluji
”Vinterferie”
Jana Ijumaa 19 Februari 2010, likizo ya wiki moja ya majira ya theluji imeanza kwa baadhi ya mikoa hapa Norway. Mashule yamefungwa na Wanorweji wengi wamekwenda likizo milimani au sehemu zingine za mapumziko
God vinterferie!
No comments:
Post a Comment