Baridi kali kuamkia leo.
Halibaridi -19oC
Leo asubuhi halibaridi ilifikia -19oC hapa Oslo. Majira ya theluji bado yanatuandama. Picha hizi zimechukuliwa leo asubuhi saa 2 na nusu asubuhi za Ulaya ya kati, maeneo ya Majorstuen, Oslo. Kweupee hakuna watu.
No comments:
Post a Comment