Monday, March 22, 2010

Is Kenya preparing for war?

Northrop F-5E Tiger II of the Switzerland Air Force. Kenya
has bought 15 of this type of Jet Fighter from
The Royal Jordanian Air Force


 Northrop F-5E Tiger II of the Royal Jordanian Air Force, Click and read more about F-5


The government was on Sunday on the spot over its massive expenditure on military hardware. Awhopping Sh27 billion ($348 million) was used to buy combat aircraft, helicopters, grenade  launchers and other light arms in a single year, according to a report by a peace studies institute.In the report released last week, the Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI), says Kenya came fourth behind South Africa, Angola and Sudan in a group of 23 east and southern African countries in the 2008 weapons purchases.

7 comments:

Anonymous said...

Hivi ndege zetu za kivit asisi Watanzania zinaweza kufua dafu kwa hizi za Wakenya?

Si wanaweza kufika Dar na kurudi Nanyuki bila ya sisi kuwa na habari au hata tukiwa na habari si watakuwa wesharudi?

Mosi-O-Tunya said...

Kwanza:

Pamoja na kupigiwa kelele za ununuzi wa rada kwa kununua rada kwa bei kubwa kuliko thamani yake na labda teknolojia yake ya kizamani kidogo, lakini itatusaidia kuashiria ujio wa ndege za kivita za kutoka nje ya nchi.

Pili:

Kikosi cha anga cha Jeshi la Wananachi wa Tanzania, kiko imara kimejizatiti. usiwe na wasiwasi.

Tanzania inatumia ndege za kivita zenye asili ya Urusi. Tunazo zilizotengenezwa China kwa leseni lakiniasili yake ni Urusi. Wachina wamezipa jina la Chengdu J-7

Tuchukue mfano wa MiG-21 "Fishbed"

Hizi kwanza zinaenda kasi kuliko
F-5. MiG-21 zinaenda kasi ya
Mach 2.2 ama kilomita 2230 kwa saa, wakati F-5 zinakwenda kasi ya kilomita 1060 kwa saa (Mach 1.6)

Hii ni tofauti kubwa sana. Kabla Wakenya hawajafika Nairobi kutoka Nanyuki MiG-21 za JWTZ zitakuwa tayari ziko angani kutokea Mwanza au Tabora au hata Ngerengere (Morogoro)

Tanzania pia tunazo MiG-19 (au Chengdu J-6 za Kichina) za zamani kabla ya MiG-21. Hizi nazo zinakwenda kasi ya kilomita 2000 kwa saa (Mach 2)

Kwa ratio ya speed, ndege za kivita za Tanzania zinazishinda za Kenya.

Wanaanga wa Tanzania wana uzoefu. Tayari majemedari wao wameshapigana vita, hiyo pia ni sababu ya kuwa tuawazidi Wakenya.

Kihistoria MiG-21, inaishinda F-5. Kwenye vita vya Vietnam, Wamarekani walipata shida sana, baada ya wanaanga wa Vietnam ya Kaskazini walipoanza kutumia MiG-21. Wamarekani walikuwa wanatumia F-5 Freedom Fighter na F-104 Starfighter.

Ilibidi wapeleke F-4 Phantom, ndipo waliposawazisha ratio ya shot down and kill kwenye medani ya vita vya anga.

Mimi ni rubani nimeshawahi kurusha MiG-19 na MiG-21, Wakenya hawatatupa shida sanaaa.

Labda waje na F-16 Fighting Falcon au F-14 Tomcat au F/A-18 Hornet au F-15 Eagle au Rafale na Mirage au zingine ambazo ni 4th Generation Jet Fighters.

Hapo itabidi nasi tukimbilie kwenye MiG-29 Fulcrum au Sukhoi-27 Flanker.

* Mach = angalia

http://en.wikipedia.org/wiki/Mach_number

Anonymous said...

Duh!

Wee unayejiita Mosi-O-Tunya uko wapi?

Lini ulikuwa JTWZ?

Mosi-O-Tunya said...

Vipi mkuu!

Siwezi nikakutajia kuwa niko wapi au nilikuwa lini JTWZ (Air Wing)

Niliapa kiapo!

j-6 warplanes moderately damaged after severe storm in chittagong, bangladesh said...

http://forum.keypublishing.com/attachment.php?attachmentid=181480&d=1265286893

Anonymous said...

ndugu zetu a tanzania mwa karibishwa kujionea viva vya kivita la eneo la africa Mashariki tanzania ikiwa moja yapo. pia muna weza kuuliza maswali nakujibiwa na watalamu waki vita wa eneo hili

http://eastafrican.userboard.net/

Anonymous said...

Join like Minds for similar military discussion at http://eastafrican.userboard.net/