Treni zasimama nchi nzima
Treni zote zimesimama hapa Norway kwa sababu ya mitambo ya mawasiliano inayotumiwa na shirika la reli (NSB) ya GSM-R, kushindwa kufanya kazi jioni ya leo. Kuna wasafiri wengi wanaokwenda likizo ya Pasaka, wanasafirishwa kwa mabasi au kwa taxi. Mpaka habari hizi zinaandikwa, bado mitambo hiyo haijaanza kufanya kazi.
No comments:
Post a Comment