Tuesday, March 16, 2010

Oslo, Norway

Je, una kiu ya Kiswahili?


Kama una kiu ya kusoma riwaya, tamthilia, fasihi n.k. basi unaweza kutembelea maktaba kuu ya Deichmanske, Arne Garborgs plass 4, karibu na ofisi za serikali. Wana seksheni ya vitabu vya Kiswahili. 



Hekaya za Abunuwas na hadithi nyingine









Picha hizi zimepigwa kwa kutumia kamera ya iPhone

1 comment:

Anonymous said...

NIMEPITIA LEO KWENYE HIYO MAKTABA. NIMETUMIA KAMA MASAA MAWILI HIVI KUPITIA TU HIVYO VITABU. NOT BAD! NOT BAD AT ALL!!!