Wednesday, March 10, 2010

San Diego, California

Kilomita 140 kwa saa,
breki za Toyota Prius zakataa!!!



James Sikes (61) akiwa kwenye kasi ya kilomita 140 kwa saa, aliona breki za Prius yake zimekataa kufanya kazi, akaamua kuwapigia polisi. Polisi wakaja wakiwa na megafoni, walimpa maelekezo ya jinsi ya kuifanya Prius ipunguze kasi. Walimwambia ashike breki ya mkono pamoja na ya mguu taratibu, halafu wakaipita Prius na kuwa mbele yake na kuisadia kusimamamisha.

No comments: