Friday, March 26, 2010

Wanawake watajitoa muhanga hadi lini?




Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,

U hali gani mpenzi wangu? Bado wanipenda? Ghafla nimeingiwa na wasiwasi sijui ni kwa sababu uko mbali sana nami au kwa sababu ya mazungumzo niliyoyasikia wiki hii.
Lakini niambie mpenzi unipooze roho. Wanipenda? Utanipenda daima? Tutaendelea kufanya kazi pamoja kufikia ndoto zetu za maisha? Nakupenda kwelikweli lakini nikiwasikia akina mama wa makamo walioolewa naanza kujaa wasiwasi kweli.


No comments: