Friday, April 02, 2010

Wawashawishi vipi??Kwa hela??Kwa pilao?




Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,

Pole mpenzi wangu.  Najua nilikushtua sana na barua yangu ya wiki jana na nashukuru sana unavyoapa kwamba wewe ni mwanamume wa aina tofauti.  Nakuamini, mpenzi, nakuamini.  Wiki jana nilipaniki kidogo baada ya mazungumzo ya wale akina mama nikaona madume wote wanadumisha mapenzi kabla ya ndoa kisha wanadumaza.  Naamini wewe ni tofauti.



No comments: