Sunday, October 03, 2010

Bingwa wa dunia wa mashindano ya baiskeli


Thor Hushovd (Mnorwejiani) leo asubuhi ameshinda mashindano ya baiskeli ya dunia. Mnorwejiani wa kwanza kuwa bingwa wa dunia wa mashindano ya baiskeli.

Hongera Thor !



No comments: