Monday, October 04, 2010

Likizo ya majira ya kipupwe
(høstferie)

Wiki hii ya 40, wanafunzi wa shule za msingi na sekondari hapa Norway, wako kwenye mapumziko ya majira ya kipupwe (høstferie) hadi Ijumaa. Kuna baadhi ya mikoa likizo hii ni wiki ijayo.


No comments: