Tuesday, October 05, 2010

Moses Fabmoses amwenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere


Mwanamuziki Moses Fabmoses na wimbo maalum wa kumkumbuka Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere. Wimbo huu aliucheza katika studio za BBC jijini London. Na BBC Kiswahili.


No comments: