Monday, October 04, 2010

Rais wa facebook


Rais Jonathan Goodluck wa Naijeria, anaongoza duniani kuwa Rais mwenye marafiki wengi kwenye facebook kuliko viongozi wote duniani. Huwa anai´upgrade ”profaili” yake karibu kila siku.


No comments: