Mama Anna Makinda
Spika wa Bunge 2010 - 2015
Mama Anna Makinda, amechaguliwa leo hii kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kipindi cha 2010 – 2015. Mama Makinda anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge toka Jamhuri ya Muungano kuzaliwa 26 Aprili 1964.
Hongera Mheshimiwa Spika, mama Anna Makinda!
No comments:
Post a Comment