Kitabu kilichoishtua Sweden!
Mfalme Carl VXI Gustaf wa Sweden
Camilla "La Camilla" Henemark
Camilla "La Camilla" Henemark akitema cheche kwenye gazeti la Expressen kuwa ni kweli alikuwa na uhusiano wa kimapenzi a Mfalme wa Sweden.
Kitabu: Den Motvillige Monarken ("The Reluctant Monarch")
Kwa wiki mbili hivi sasa kitabu kilichoandikwa na Thomas Sjöberg, Deanne Rauscher na Tove Meyer
kiitwacho Den Motvillige Monarken ("The Reluctant Monarch") kimeleta mshtuko nchini Sweden. Waandishi wa kitabu wanadai kuwa Mfalme Carl Gustaf XVI amemsaliti Malkia Sylvia. Wanadai kuwa Mfalme kwenye miaka ya tisini alikuwa mtembezi mkubwa kwenye vilabu vya wacheza nusu uchi na amekuwa akienda kwenye party kwenye vilabu vinavyomilikiwa na mafisadi mjini Stockholm.
Magazeti ya Sweden nayo yakadakia na Aftonbaldet limeandika kuwa Mfalme Carl Gustaf XVI , amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanadada mwanamziki mmoja aitwaye Camilla Henemark (La Camilla). Juzi tu Camilla ametema cheche kwenye gazeti la Expressen kuwa ni kweli alikuwa na uhusiano na Mfalme, wamekuwa wakikutana peke yako mwa muda mrefu kwenye miaka ya 90 na mara nyingi Camilla alikuwa akionekana kwenye hafla kwenye hekalu la Mfalme. Camilla amezaliwa 23 Oktoba 1964, mama Mswidi na baba Mnaijeria. Alikuwa mwimbaji wa bendi iitwayo Army of Lovers.
9 comments:
Duh! Huyu dada ana miaka 46 lakini bado wamo!!! Angalia mdomo wake...umekaa kunyonya nyoa nanihiii!!!!
Mfalme amefaidi kweli....
Hata mimi ningepata nafasi na huyu dada wala nisingemwachia..
Wamwache carl Gustaf. Si binadamu kama binadamu wengine? naye pia ana desire zake kama wanaume wengine tulivyo. Bahati mbaya imejulikana...
My main man Carl Gustaf!!!!
DUH...MFALME KICHECHE KWELI..
Mfalme na mnigeria babe
ASTAKAFULULAHI BILAL AMINA! KUMBE MFALME ANAPENDA MDOMO WA KINAIGELIA,
FISADI PAPA HUYO
USIKUTE MFALME ANAPENDA MATAKO NA ALIKUWA HAPATI TOKA KWA MALKIA..HUWEZI JUA..SIRI ZA KUTA NNE ZA NYUMBA...
NDOTO ZA WAZUNGU: MAKALIO YA WANAWAKE WA KIAFRIKA/WENYE ASILI YA KIAFRIKA. MFALME NAYE NADHANI ILIKUWA NDOTO YAKE...GO KING CARL GUSTAF!!!
Anon [USIKUTE MFALME ANAPENDA...] AND Anon [NDOTO ZA WAZUNGU...],
I COULDN'T AGREE WITH YOU MORE WITH YOUR OBSERVATIONS (i.e. MFALME NI KIONGOZI, HATAKIWI AYUMBISHE FUTURE GENERATIONS), HII NDIO SABABU MFALME HUYU NI FISADI PAPA TU NO MATTER HOW YOU CUT IT...
It is an either/or situation, one is either MFALME or not MFALME
Post a Comment