Tuesday, November 02, 2010


Mwanamziki wa mziki wa kizazi kipya (Bongo Flava), Mr. Sugu ameshinda kiti cha Ubunge, Mbeya Mjini kwa kupitia tiketi ya CHADEMA.

Mr. Sugu hongera sana!


No comments: