Norway inazizima kwa baridi
- Majira kali ya theluji -
Toka kuanza kupimwa kwa halibaridi hapa Norway hakujawahi kuwa na baridi kali mwezi Novemba kama ya safari hii. Hapa Oslo halibaridi ni -100 C, mji kama wa Trondheim ni -150 C, Røros ni -200 C na kwenye kisiwa cha Svalbard ni -250 C.
Picha hii imechukuliwa kutoka kasakazini ya Norway. gari limekwama kwenye theluji. Ni mchana lakini kiza totoro!

No comments:
Post a Comment