Wednesday, December 15, 20101 comment:

Anonymous said...

mh bomani hawa wapambe wa sisiemu hawataki haya kwa sababu ya ufisadi, hawa jamaa hawajui haki au sheria wenyewe wanajua kuwa hawang'atuki mpaka wang'atuliwe, ukoloni huu umeanza na nyerere na yeye kasema maslahi ya sisiemu yatayumba kama ukoloni huu mweusi uking'atuliwa!!!! msomali wa dom