Wednesday, December 01, 2010

Norway

Leo siku ya kubadili betri kwenye
viashiria moto



Leo hapa Norway ni siku ya kubadili betri za zamani na kuweka betri mpya kwenye viasharia moto majumbani. Sababu kubwa ya kubadili ni kuwa mwezi wa Desemba ni mwezi wenye maafa mengi ya moto majumbani hapa Norway. Hivyo watu wanashauriwa kubadili betri.

Kwa maelezo zaidi kuhusu ilani za moto, bofya na soma (samahanini iko kwa Kinorweji)

https://www.gjensidige.no/no/0/Privat/Forsikring/Tema/Roykvarslerens-dag/10-enkle-tips-til-brannvern-i-hjemmet




No comments: