Tuesday, January 11, 2011

Baba na mama nani mwoga?
Mmhh...basi kuna familia moja..Baba..Mama..watoto 2 wa kike na mdogo wa kiume..siku moja walikua wanakula mezani..
Baba akauliza Eti kati yangu na mama yenu nani muoga ?
Mtoto mdogo wa kiume akajibu ni wewe baba..
Baba akauliza Mmh...kwanini ?
Mtoto akajibu: eti mama akisafiri wewe unaogopa unalala na Dada (Housegirl) ila wewe ukisafiri mama analala peke yake...mmh.....balaaaaaaaa............
Kutoka kwa Gloria Majaliwa (facebook)

Who´s most afraid?
English translation:
Mmhh ... .. there is one family, a father,  a mother and 2 children. A girl and a small boy.  They sat one day eating dinner ...the father asked them.
“Between your mother and I...who is most afraid?”
The son answered: you dad!

Father asked... why?
The boy answered: whenever mom travels, you are so afraid,  you sleep with the maid (housegirl),  but when you are traveling,  mom sleeps alone!
(The editor´s translation)

2 comments:

Anonymous said...

ha! ha! ha! ha! funny!!!!!!!!!

Anonymous said...

TUNA TABIA SANA YA KUWADHARAU WATOTO HASWA SISI WAAFRIKA (SIJUI WATU MABARA MENGINE WAKOJE..) HILI NI FUNDISHO! DON´T UNDER ESTIMATE CHILDREN PERIOD!