Friday, January 07, 2011

Kwenye ufunguzi wa kitabu cha wasifu wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete


Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Maajar akitoa shukrani kwa familia ya Nyang´oro na kuwashukuru Watanzania waishio North Carolina

Profesa Julius Nyang´oro akizungumza kumshukuru mumewe na kueleza sababu za kwa nini aliamua kuandika kitabu cha wasifu wa Rais Jakaya Kikwete.

Aku Kalala Nyang´oro akizungumza machache kuhusu mumewe Profesa Julius Nyang´oro


No comments: