Tuesday, January 11, 2011

Messi na Marta wachezaji
bora wa soka 2010

Lionel Messi akiwa na Marta Vieira da Silva- wachezaji bora kuliko wote wa soka 2010

Lionel Messi (Barcelona/Argentina)  amechaguliwa kama mchezaji bora wa soka kuliko wote duniani kwenya soka la wanaume na Marta Vieira da Silva (Santos/Brazil) kwenye soka la wanawake. Marta ameshika wadhifa huu kwa miaka mitano mfululizo: 2006, 2007, 2008, 2009 na 2010

Lionel Messi – mchezaji bora (mwanamme)
Marta – mchezaji bora (mwanamke)
Hamit Altintop (goli la mwaka)
Silvia Neid – kocha soka la wanawake
José Mourinho – kocha bora wa mwaka (Real Madrid)
Askofu Desmond Tutu – Zawadi ya heshima

Wachezaji wafuatao wanaunda timu ya mwaka:
Iker Casillas - Carles Puyol, Gerard Piqué, Maicon, Lucio – Andres Iniesta, Xavi, Wesley Sneijder - Cristiano Ronaldo, David Villa, Lionel Messi


No comments: