Tuesday, January 04, 2011


Viwanja  namba 60 na 62 vilivyoko  kitalu G maeneo ya  Tegeta, Wilaya ya  Kinondoni  jijini  Dar  es Salaam  vimezua  mgogoro mkubwa  baina ya Abdul Ramadhan Said  na Rais wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF),   Leodegar Tenga, hali  iliyofanya  mmoja  wao  kukimbilia  ofisi  za Taasisi  ya  Kuzuia na Kupambana na Rushwa  nchini, (TAKUKURU) ili  kuchunguza njia  iliyotumika  kumilikisha  viwanja hivyo  watu  wawili.....bofya na endelea>>>>>


1 comment:

Anonymous said...

Matatizo yako ardhi. Ardhi kumeoza kwa kutupwa! Bila ardhi kuoshwa na sabuni na maji ya chumvi, haya matatizo ya viwanja hayataisha. Ndo yatazidi!!!