Saturday, January 15, 2011


Watanzania sita, wakiwemo wasanii wawili wa maigizo, wamefungwa Magereza mawili ya Hong Kong nchini China baada ya mahakama kuwakuta na hatia ya kujihusisha na biashara ya ukahaba, Ijumaa linakuwa la kwanza kukujuza. 

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, wabongo hao, wamefungwa kwenye Magereza ya Lai Chi Kok na Tuemun ambayo ni maalum kwa wafungwa wanawake….bofya na endelea>>>>>


No comments: