Wengine wanaukata, wengine
wanakatika na shule za ukata
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
OOOH moyo unaimba, imba imba, oooh moyo unaimba imba oooh. Mpenzi alikuja kuja kuja mpenzi alikuja kuja oooh. Yaani mpenzi wangu, huwezi kujua nilipata faraja kiasi gani. Ingawa uliporudi, ulinilaumu eti sijakuandikia barua lakini ningekuandikia barua gani wakati moyo wote ulikuwa umejaa raha kutokana na kukuona....bofya na soma zaidi>>>>>
No comments:
Post a Comment