Kwa wale waliockiliza XXL ya clouds FM jana, ni wazi kwamba mlisikiliza kilo cha mshikaji Jafarai ambaye alikuwa ndiye boifrendi wa Dada Mwanaharakanti Shy-rose Banji. Mshikaji kupitia facebook yake kamwaga razi. haya ni maneno ya Jaffarai mwenyewe akimlaani Sugu A.Ka. Mr. II kunyang'anya dem wake.
"Jaffarai Jaffarhymes
"Nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiasi hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana"
http://www.facebook.com/home.php#!/jaffarhyme
http://www.facebook.com/home.php#!/jaffarhyme
No comments:
Post a Comment