Saturday, February 12, 2011

KIZAZAA kikubwa kimeikumba Shule ya Sekondari ya Bigwa iliyopo Morogoro na kuwatikisa wanafunzi zaidi ya 20 na kuwasababisha kuweweseka hadi kuzimia katika hali iliyowashangaza wakazi wengi wa mji huu, Risasi Jumamosi linakupa mkasa kamili.

Akizungumza na mwandishi wetu, Mmoja wa walimu wa Shule hiyo, George Mulenga alisema kwamba, Februari 9, mwaka huu, waliwaona wanafunzi wao mmoja baada ya mwingine wakiweweseka na kuanguka na fahamu.

Kwa mujibu wa mwalimu huyo, jitihada za kuwapeleka wanafunzi hao katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro zilifanyika mara moja na hadi alipokuwa…..bofya na soma zaidi>>>>>


No comments: