Sunday, February 13, 2011

Orch. Lipua Lipua (Democratic Republic of Congo = DRC) - Lemba Lemba



3 comments:

Anonymous said...

Sikiza lead guitar linavyocharazwa..aah rythm guitar linaimba, bass guitar linasema....Kina Nyboma ndo usiseme. Enzi za enzi hizo!!!!

Anonymous said...

WANGU NI Orchestre Lipua Lipua- Naleli libala

Anonymous said...

Kulikuwa na Orchestre Bella Bella...wao nao walikuwa wanafanana na Lipua Lipua