Sunday, March 13, 2011

Safari ya Loliondo kwa babu mchungaji mwenye kuponyesha UKIMWI

Kwa wale wanaotaka kuenda Loliondo, hali ya Loliondo ni hii:


  • Loliondo is 400 Km from Arusha Town and its rough road

  • No enough food and water also no fancy hotels (Entrepreneur Shaweji is planning to Build one or two)

  • Long queues may take a week to be attended.

  • You need at least two weeks of leave to complete your journey


Mti wa Mugariga unaotoa hiyo dawa ya kutibu UKIMWI

Mugariga ukiwa kwenye vyungu


Babu Mchungaji akitoa dawa
Gari hili lina namba za Halmashauri ya mji wa Arusha


 

Wagonjwa wakipumzika baada ya kunywa dawa.


No comments: