Sunday, April 03, 2011

Bosi amchoma housegirl wake na pasi ya moto...Kisa??? Amshutumu kuwa kamuibia hela. Je, huu ni utu?










Picha kwa hisani ya Haki Ngowi (http://haki-ngowi.blogspot.com/


1 comment:

Tausi Usi Ame Makame said...

Huu ni unyama wa hali ya juu. Huyo bosi angepelekwa Segerea angalau wiki tu...akakione cha mtema kuni. angeshika adabu!!!!