Waziri mkuu anapokwenda likizo na mkewe
Hapa Waziri Mkuu yuko departure lounge ya KAWAIDA na sio VIP na mkewe wakisubiri kwenda Spain for holiday. Anatumia pesa zake binafsi, na anatumia budget airline ambayo haina Business wala first class
Hapa washafika huko Spain na hakuna maduka kufungwa au watu kuzuiwa kufanya kazi zao eti kwa sababu kiongozi wa nchi jirani kaja bas mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa,sijui mpage gani shughuli zote zinasimama
Badala ya kuwa na wapambe wa kumtolea pesa...jamaa anatumia kadi yake kutoa pesa kama watu wengine na ifact inasemekana ALIFUNGA foleni
If only WATAWALA wetu wangekuwa kama huyu. Kama kuna mtu anayo picha ya MTAWALA wetu hata mmoja ambaye anafanya mambo ya kawaida kama sie watu wakawaida ailete hapa. Saa zingine utaambiwa eti ohhh sababu za kiusalama. Hivi kwenye ukishakuwa MAN OF THE PEOPLE unataka ulizni wa nini?
Chanzo: Jamii Forums
1 comment:
Kiongozi wa Afirca awe hivi?? haiwezi kutokea. Haswa ukifikiria huyu ni kiongozi wa taifa kubwa mhh. Ambao wangekaribia kufika huko ni kama Sokoine na Mrema kwa upande wa Tanzania. bado tuko nyuma sana huko ni mbali mnooooo.
Post a Comment