Friday, April 01, 2011

Namba ya wiki

Idadi ya wakazi wote wa Norway


Hadi Ijumaa, Aprili Mosi 2011


idadi ya watu wote wanaoishi Norway ni


4 931 924
milioni nne laki tisa thelathini na moja elfu mia tisa ishirini na nne


Ongezeko la  watu 923


tokea wiki iliyopita.



No comments: