Monday, May 23, 2011

AL-Jazeera News TV Channel ya Kiswahili

Al-Jazeera TV yenye makao makuu yake nchini Qatar, ipo mbioni kuanzisha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili si muda mrefu ujao. Habari zinaeleza kua Al Jazeera inakamilisha taratibu za kuweka kituo chake cha kurushia matangazo kwa ajili ya Afrika mashariki mjini Nairobi Kenya.



No comments: