Thursday, June 30, 2011

Oslo - Mbuzi waliotoroka kuwa kitoweo, kuishi zaidi.


Wale mbuzi kumi waliotoroka kwa kudra za Mungu na kusalimika kuwa kitoweo, wamepatikana wote na imeamuliwa kuwa wataachiwa waishi hadi siku zao za Mungu zitakapofika.

No comments: