Monday, June 20, 2011


Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikilla ‘ameifungukia’ kauli ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa, baadhi ya viongozi wa dini nchini wanajihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya, Ijumaa Wikienda linashuka naye.

Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu Ijumaa iliyopita, Mtikilla alisema tamko la JK ni la kweli kwa vile wapo baadhi ya viongozi wa dini wasiofuata maadili ya kazi yao na kufanya biashara hiyo. Akaongeza kuwa, yeye anamjua mmoja (jina tunalo)…..bofya na soma zaidi>>>>>

No comments: