Saturday, August 20, 2011


Mradi wa Vitambulisho Vya Kitaifa Ni Kioja Kingine

Na Maggid Mjengwa,

NI mwanafalsafa yule wa Kiyunani, Ptolemy, aliyepata kuandika; ”Ex Africa simper aliquid novi”. Maana yake: “Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika.”

Hivi karibuni nilitumia muda mwingi kule kwetu Mbarali, Mbeya. Kijiji baada ya kingine nimekutana na ndugu na jamaa. Ni ukweli kuwa hali za maisha ya kiuchumi ya watu wetu inazidi kuwa mbaya. Wananchi wengi wanalalamikia kupanda kwa hali ya maisha. Na hata wasiposema, unaona mwenyewe kwa macho yako.

Mfano, nilifika Hospitali ya Wilaya pale Rujewa. Hakika, huduma itolewayo pale ni ya kiwango cha zahanati, na si kingine. Na hali ya mkanganyiko wa upatakanaji wa mafuta imekuwa ni kama kuweka chumvi kwenye kidonda. Imewaathiri sana waishio vijijini na wenye vipato vya chini.
Bofya na soma zaidi : www.kwanzajamii.com

No comments: